Serikali yasema ipo tayari kutoa ushirikiano kwa wadau wa maji na usafi wa Mazingira -TAWASANET





Serikali imesema ipo tayari kutoa ushirikiano kwa TAWASANET, wanachama wake na wadau wengine wanaofanya kazi katika sekta ya maji na usafi wa mazingira ili kujenga misingi ya uadilifu, uweledi na uwajibikaji miongoni mwa Asasi zisizo za Kiserikali.
Share on Google Plus

About NYEMO FM RADIO

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment