Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Manispaa Ya Dodoma Wajitokeza Kwa Wingi Uandikishwaji Wa Vitambulisho Vya Uraia




Wakazi Wa Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Manispaa Ya  Dodoma  jana Wamejitokeza Kwa Wingi Katika Zoezi La Uandikishwaji Wa Vitambulisho Vya Uraia Linaloendelea Nchini Nzima

Akiongea Na Nyemo Fm Radio Afisa Usajili Mkoa Wa Dodoma Khalidi Mrisho Alisema Vitambulisho Vina Faida Nyingi Kwa Wananchi Na Hata Serikali Kwa Ajili Ya Maendeleo.

Msimamizi Wa Zoezi Hilo George Mushi Alisema Kuwa Zoezi Hilo Limeenda Vizuri Sambamba inagawa kumekuwepo na Changamoto Kadhaa Kutoka Kwa Wananchi.

Naye Afisa Uhamiaji Mkoa Wa Dodoma Peter Kundy Ametoa Wito Kwa Wakazi Wa Dodoma Kuendelea Kujitokeza Katika Zoezi Hilo Linaloendelea Manispaa Ya Dodoma.    


Na: Hawa Kahemele – Nyemo fm Radio Dodoma


Share on Google Plus

About NYEMO FM RADIO

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment