Msanii wa muziki Bongo, Chin Bees amesema picha ambayo
inasambaa mtandaoni ikimuonyesha akiwa katika mahaba na mrembo ambaye
bado hajafahamika ni kutokana na Kupotea kwa simu yake
“Kwa hiyo mimi ni mtoto wa kiume vitu kama vile nafanya lakini siyo
kufanya public, mimi siyo mtu wa kiki na wote wanaomjua Chin Bees siyo
mtu wa style hiyo,” amesema.
Alipoulizwa iwapo huyo ndiye mpenzi wake, alijibu, “Siyo official,
ingekuwa official ningesema ila tulikuwa katika namna gani zile ndio
ikatokea picha hizo lakini namshukuru Mungu watu wangu wameweza
kunielewa kwa sababu mimi siyo mtu style hiyo,”.
Home / BURUDANI
/ Kwa hiyo mimi ni mtoto wa kiume vitu kama vile nafanya lakini siyo kufanya public *** Chin Bees***
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment