TANGAZO LA AJIRA
MRATIBU WA KLABU YA WAANDISHI
DODOMA ( CPC )
CENTRAL
PRESS CLUB ni klabu ya waandishi wa habari mkoa wa
Dodoma , na ni mwanachama wa Union of Tanzania Press Clubs ( UTPC ).
1.
Kazi
inayotangazwa : Mratibu
2.
Mkataba
wa ajira : Ni wa mwaka mmoja
3.
Atakuwa
chini ya : Katibu Mkuu wa Klabu
4.
Kituo
cha kazi : Dodoma
5.
Majukumu
ya Mratibu
·
Kumshauri
Katibu wa Klabu juu ya namna bora ya kuendesha shughuli za klabu
·
Kubuni
mipango au miradi ambayo itaingizia klabu mapato
·
Kuwahudumia
wageni wote wanaokuja kwenye ofisi ya Klabu kwa mahitaji mbalimbali
·
Kuwa
unganisha wadau wa habari na wanachama wa Klabu
·
Kuandika
vitabu vya hesabu za kila siku na kutoa taarifa ya mapato na matumizi ya kila mwezi,
nusu mwaka na ya mwaka mzima.
·
Kupanga
na kuhifadhi nyaraka zote za klabu katika mpangilio ulio bora
·
Kujaza,
kutunza na kuhifadhi daftari la Mali za kudumu.
·
Kujaza,
kutunza na kuhifadhi orodha ya wanachama
·
Kumsaidia
Katibu Mkuu au mtu mwenye wadhifa kama huo kuandika mihutasari ya vikao na mikutano
yote ya chama.
·
Kusambaza
kwa wanachama na wadau machapisho ya UTPC, kwa kuzingatia maelekezo.
·
Kuandaa
bajeti ya shughuli za Klabu za kila mwaka chini ya usimamizi wa Katibu Mkuu wa Klabu
au mtu mwenye wa dhifa kama huo.
·
Kuandaa
na kuandika taarifa zote za Utekelezaji na za fedha na kuzituma UTPC chini ya usimamizi
wa Katibu Mkuu wa Klabu.
·
Kuhakikisha
ofisi na vifaa vya ofisi vinakuwa kwenye hali ya usafi na usalama.
·
Kuratibu
na kusimamia matumizi ya vifaa vya ofisi kwa wanachama chini ya usimamizi wa Katibu
Mkuu wa Klabu.
6.
Sifa:
Elimu kidato cha sita
ü Diploma ya Business Administration
au Inayolingana na hiyo
ü Umri kati ya miaka 25 – 45
ü Elimu ya uandishi wa habari ni sifa
ya ziada
Maombi
haya yaandikwe kwa mkono na kutumwa kwa;
Katibu Mkuu
Central Press Club
S.L.P 1816 – Dodoma
Email:habaricentral@yahoo.com
0 comments:
Post a Comment