Breaking News - Mahakama Dodoma yamwachia aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM


Mahakama mkoa wa Dodoma imemwachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM, Sadifa Hamis baada ya Jamhuri kuwasilisha ombi la kuifuta kesi ya rushwa iliyokuwa ikimkabili.

Taarifa za awali zilidai kuwa, Sadifa Juma Khamis ambaye alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa wa Dodoma kwa makosa mawili yanayohusu rushwa.


Endelea kufuatilia nyemofm97.blogspot kwa habari zaidi
Share on Google Plus

About NYEMO FM RADIO

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment